Mbona ni maneno tu hakuna hizo ajira, au zitaonekana lnNaona zinawahusu walimu,afya,kilimo,mifugo ba sheria pekee.
Wewe utakuwa sio mtumishi.Daraja lenyewe linapanda kwa elfu 50[emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂Lilikujaga kutesa watu duniani lile jamaa.
Zipo Afya na Ualimu pia
Imeelezwa ualimu unasimamiwa na tamisemiKwahyo hizo nazo za ualimu zitaendeshwa na sekretariet ya ajira na sio tamisemi kama tulivozoea!!!?
Soon tu utumishi wanaanza kutangaza maombi, na Tamisemi watafungua dirisha la maombi kupitia OTEAS kama sikosei(hizi za Ualimu na Afya bado zitaratibiwa na Tamisemi)Mbona ni maneno tu hakuna hizo ajira, au zitaonekana ln
Mwache apumzike kwa amaniLilikujaga kutesa watu duniani lile jamaa.
Apumzike alikojichagulia.Mwache apumzike kwa amani
Na kwel ila Wahasibu, Mama ametoa ajira sana hasha TRANaona tulio Soma uhasibu hizi ajira hazitulengi kabisa jamani
🙏Soon tu utumishi wanaanza kutangaza maombi, na Tamisemi watafungua dirisha la maombi kupitia OTEAS kama sikosei(hizi za Ualimu na Afya bado zitaratibiwa na Tamisemi)
Ndo maana hawaja taka kuongeza japo nasikia halmshauri Kuna uhaba Sana wa wahasibuNa kwel ila Wahasibu, Mama ametoa ajira sana hasha TRA
Ni kwel Halmashaur kuna uhaba mkubwa sana wa Wahasibu hvyo mjiandae kuajiriwa HalmashaurNdo maana hawaja taka kuongeza japo nasikia halmshauri Kuna uhaba Sana wa wahasibu
Zimetangazwa ila kuomba pia Bado.
Labd ualm ndo wamezoeshw hivyo. Kada nyingn Hamnaga kitu cha aliyemaliza zaman wote n gombania goliWafungue mfumo,watu waombe,ila waanze kuajiri kwa kuangalia miaka watu waliyomaliza,itasikitisha sana mtu kamaliza 2016 na anazo sifa sawa na yule aliyemaliza 2019,huyo wa 2016 anaachwa,anachukuliwa wa 2019,itakua siyo vizuri.Bora waajiriwe wote,lakini siyo kwa namna ambayo italeta mfadhaiko kwa waliosota mitaani muda mrefu,japo simaanishi waliomaliza juzijuzi eti wasipate,ila mzingatio utumike.
Ata walimu atakayeomba shule yenye uhitaji ndo atachukuliwaWafungue mfumo,watu waombe,ila waanze kuajiri kwa kuangalia miaka watu waliyomaliza,itasikitisha sana mtu kamaliza 2016 na anazo sifa sawa na yule aliyemaliza 2019,huyo wa 2016 anaachwa,anachukuliwa wa 2019,itakua siyo vizuri.Bora waajiriwe wote,lakini siyo kwa namna ambayo italeta mfadhaiko kwa waliosota mitaani muda mrefu,japo simaanishi waliomaliza juzijuzi eti wasipate,ila mzingatio utumike.