Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

Kwahyo hizo nazo za ualimu zitaendeshwa na sekretariet ya ajira na sio tamisemi kama tulivozoea!!!?
 
Wafungue mfumo,watu waombe,ila waanze kuajiri kwa kuangalia miaka watu waliyomaliza,itasikitisha sana mtu kamaliza 2016 na anazo sifa sawa na yule aliyemaliza 2019,huyo wa 2016 anaachwa,anachukuliwa wa 2019,itakua siyo vizuri.Bora waajiriwe wote,lakini siyo kwa namna ambayo italeta mfadhaiko kwa waliosota mitaani muda mrefu,japo simaanishi waliomaliza juzijuzi eti wasipate,ila mzingatio utumike.
 
Labd ualm ndo wamezoeshw hivyo. Kada nyingn Hamnaga kitu cha aliyemaliza zaman wote n gombania goli
 
Wafungue mfumo,watu waombe,ila waanze kuajiri kwa kuangalia miaka watu waliyomaliza,itasikitisha sana mtu kamaliza 2016 na anazo sifa sawa na yule aliyemaliza 2019,huyo wa 2016 anaachwa,anachukuliwa wa 2019,itakua siyo vizuri.Bora waajiriwe wote,lakini siyo kwa namna ambayo italeta mfadhaiko kwa waliosota mitaani muda mrefu,japo simaanishi waliomaliza juzijuzi eti wasipate,ila mzingatio utumike.
Ata walimu atakayeomba shule yenye uhitaji ndo atachukuliwa
 
Back
Top Bottom