Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

sorry kaka hizo nafasi wamebase kwa kada zipi ualimu na afya pekee ama?
 
Hapo waalimu, madaktari na wauguzi, watu wa Kilimo na mifugo yake pia, wanasheria..
Hizo taaluma wote wamilikibwake waanza kukumg'uta vumbi vyeti vyao.. Applications will be undercontroled
 
Kazi za geologists zinatangazwa kwa manati kweli huko utumishi, au ni mimi tu ndo huwa zinanipita?[emoji23]
 
Mama Samia oyeeeee! Huyu sasa ndo Rais wa kumlazimisha atawale milele atake asitake!!!!(in Ally Kesy's voice)
 
Soon tu utumishi wanaanza kutangaza maombi, na Tamisemi watafungua dirisha la maombi kupitia OTEAS kama sikosei(hizi za Ualimu na Afya bado zitaratibiwa na Tamisemi)
Mzee,una moto.hivi ukikosa tena si utaweza kujiua wewe??😁😁
 
Mzee,una moto.hivi ukikosa tena si utaweza kujiua wewe??😁😁
Huwa nawamobilize tu vijana, nipo hapa kushare taarifa na wanna na nadhani nyuzi zangu unaziona. Kuhusu hizi kazi Wala siko na mzuka nazo kihiiiiivyo..!! because nafahamu lolote linaweza kutokea, for now niko na mambo zangu nakama mda wowote zikitoka nitaomba kwa kuwa nimesoma na vyeti ninavyo na ninahitaji kuwatumikia watanzania wenzangu.

Kukosa na kupata kwenye maisha ni kawaida na ni mipango ya Mungu..
"The struggle is always going on"
 
Safi mkuu
 
Pamoja mkuu
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…