Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao.​

Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote.
Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz

Kila la kheri vijana.
sorry kaka hizo nafasi wamebase kwa kada zipi ualimu na afya pekee ama?
 
Hapo waalimu, madaktari na wauguzi, watu wa Kilimo na mifugo yake pia, wanasheria..
Hizo taaluma wote wamilikibwake waanza kukumg'uta vumbi vyeti vyao.. Applications will be undercontroled
 
Kazi za geologists zinatangazwa kwa manati kweli huko utumishi, au ni mimi tu ndo huwa zinanipita?[emoji23]
 
Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao.​

Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote.
Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz

Kila la kheri vijana.
Mama Samia oyeeeee! Huyu sasa ndo Rais wa kumlazimisha atawale milele atake asitake!!!!(in Ally Kesy's voice)
 
Soon tu utumishi wanaanza kutangaza maombi, na Tamisemi watafungua dirisha la maombi kupitia OTEAS kama sikosei(hizi za Ualimu na Afya bado zitaratibiwa na Tamisemi)
Mzee,una moto.hivi ukikosa tena si utaweza kujiua wewe??😁😁
 
Huwa nawamobilize tu vijana, nipo hapa kushare taarifa na wanna na nadhani nyuzi zangu unaziona. Kuhusu hizi kazi Wala siko na mzuka nazo kihiiiiivyo..!! because nafahamu lolote linaweza kutokea, for now niko na mambo zangu nakama mda wowote zikitoka nitaomba kwa kuwa nimesoma na vyeti ninavyo na ninahitaji kuwatumikia watanzania wenzangu.

Kukosa na kupata kwenye maisha ni kawaida na ni mipango ya Mungu..
"The struggle is always going on"
 
Safi mkuu
 
Pamoja mkuu
 
Wafungue mfumo,watu waombe,ila waanze kuajiri kwa kuangalia miaka watu waliyomaliza,itasikitisha sana mtu kamaliza 2016 na anazo sifa sawa na yule aliyemaliza 2019,huyo wa 2016 anaachwa,anachukuliwa wa 2019,itakua siyo vizuri.Bora waajiriwe wote,lakini siyo kwa namna ambayo italeta mfadhaiko kwa waliosota mitaani muda mrefu,japo simaanishi waliomaliza juzijuzi eti wasipate,ila mzingatio utumike.
Kabisa
 
Back
Top Bottom