Hamfungi hata kwa kupewa penalty maana najua leo kuna muda utafika mtaanza kulilia penalty ila hamtapewa mkipewa mtapaisha nje leo km kuna mchezaji atachekelea kupewa apige penalty basi atatoka uwanjani na zigo la lawama maana lazima apige njeKinachokusumbua ni chuki
duh!! Mwakarobo fc kazi anayo👿Simba anashinda 3-1
nawaza sijui niwaambie hawa @mods wanipe ban ya masaa matano endapo tu simba waki qualify kwenda nusu. Active simba wakifuzu leo nipige ban ya masaa matano mkuu. Nataka nionje radha ya ban leo.Ndio lazima wawe active muda wote sababu leo Simba anafungwa
Punguza jazba mkuu uwezo wa kuipiga Al Masry goli hata 1 hamna sembuse goli 3 mlima mrefu huo, sasa leo subiria gemu iishe uikimbie ID yakoUpigwe ban wewe na ID zako zote, na device zako zote utakazotaka kubadili. Ongeza hiyo kwenye uzi
Ukiwahiwa unapona.Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
nimemtag active na nimempa maelekezo masaa matano yanatosha.Kwa hio na wewe uweshwe ban?
Mboni nimeeleweka hapo mkuu na ndicho nilichomaanisha yaan akifunga 3 kavu akapita nipigwe ban akifunga 3-1 hio ban ni batili maana hapo ni sawa na 2-0 ila akifunga 4-1 nipigwe ban akifunga 5-2 nipigwe banUngeboresha ombi lako kwa kusema Simba okifuzu upigwe ban ya miaka mitatu
Nimekupata mkuu.Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
Sawa nimekusoma mkuunawaza sijui niwaambie hawa @mods wanipe ban ya masaa matano endapo tu simba waki qualify kwenda nusu. Active simba wakifuzu leo nipige ban ya masaa matano mkuu. Nataka nionje radha ya ban leo.
Nasema 4 au 5 ni mbali saana huko hafiki goli moja 1 kufunga itakua mbinde na leo lazima walilie penalty hata ya kufuta machozi na ikitokea wamepewa watapaishaWakifungwa 4 au 5 upigwe ban ya maisha na usije kujaribu Kufungua id nyingine