Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.

Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.

Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
Hii game GG ipo lkn nani anapita ni pagumu sana.
1: Nidhamu nakutumia muda vzr.
2: Matumizi ya nafasi watakazopata/tengeneza.
3: Bahati.
Hivyo vitu ndio vitakavyowabeba simba
 
Penalty leo hakuna niwakumbushe tu
 
Ni Yanga pekee ndo anaweza pindua mweza kwa kiwango hicho
 
Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.

Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.

Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
sasa mod akikupiga ban sisi tutafaidika nini ?
 
Write your reply...
KWANZA SIMBA YUPI MNAYEONGELEA KWAMBA APIGE MTU 3 BILA...AHMED ALLY ANAWAFANYA MAZUZU..
leo ni mwendo wa ..anao anao anao mpanzu anao..daah walinz wa al masry wamempokonya....kibubu anao kibu kibu anao..ayaaa amenyang'anywaa..
 
Ahmed Ally kawaambia Simba itashinda
 
Umesema leo mnafungwa na Al Masry?
simba uwezo wa kumfunga mwarabu hana angekuwa yanga leo mwarabu angepigwa hata tatu km tulivyomchakaza MC ALGER tulitakiwa tushinde goal moja tufuzu tukampiga 2-0
 
Leo mnafungwa tena
 
Hawa washirikina wanachanganya Imani ya Mungu na uchawi, watalala flat Leo, watatoka zero au watapigwa! Hakuna team pale, genge la wahuni Lile!
Ndio kinachoenda kutokea labda wakimbie mechi
 
Back
Top Bottom