MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,076
- 3,564
Hii game GG ipo lkn nani anapita ni pagumu sana.Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
Leo ndiyo hiyo Yanga imetolewa na MC Alger. Au Yanga inaendelea na mashindano?Tunaongelea leo
SawaaMnafungwa bila shaka
sasa mod akikupiga ban sisi tutafaidika nini ?Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
hila yanga uwezo wa kufunga goal zaidi ya moja anao ndio maana akamtoa mc algerHakuna kitu km hicho Simba uwezo wa kumfunga Al Masry hata goli 1 hana
Ahmed Ally kawaambia Simba itashindaWrite your reply...
KWANZA SIMBA YUPI MNAYEONGELEA KWAMBA APIGE MTU 3 BILA...AHMED ALLY ANAWAFANYA MAZUZU..
leo ni mwendo wa ..anao anao anao mpanzu anao..daah walinz wa al masry wamempokonya....kibubu anao kibu kibu anao..ayaaa amenyang'anywaa..
simba uwezo wa kumfunga mwarabu hana angekuwa yanga leo mwarabu angepigwa hata tatu km tulivyomchakaza MC ALGER tulitakiwa tushinde goal moja tufuzu tukampiga 2-0Umesema leo mnafungwa na Al Masry?
Simba lazima watage leo