lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Hawana huo uwezoHatua ya kwanza kuelekea kumuondoa Mrusi ndani ya Ukraine.
Mrusi ataondoka kwa njia ya mazungumzo hao NATO Kwa Russia ni watoto wadogo Tu.Hatua ya kwanza kuelekea kumuondoa Mrusi ndani ya Ukraine.
Ni mazoezi ya kijeshi, hakuna cha kuchangia hapa.Nimeiona hii habari Al Jazeera.
Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita amabyao hayajawahi kufanyika kabla.
...
Ni hatua ya kwanza kuelekea WW3.....if he goes down ,hatokwenda mwenyweHatua ya kwanza kuelekea kumuondoa Mrusi ndani ya Ukraine.
Kama Ukraine wiki ya tatu hii hapo kyiv hamjakanyaga ndio mtawaweza NATO?Mrusi ataondoka kwa njia ya mazungumzo hao NATO Kwa Russia ni watoto wadogo Tu.
Tushafanya mazoezi ya kuvunja tofari mkuu bado nini tukumbushe basi..😊Mimi namshauri Mh. raisi wa Tanzania mama samia suluhu. Awaambie watanzania wote waliopo urusi na nchi za NATO warudi Tanzania haraka ikiwa pamoja na mabalozi wetu waliomo kwenye hizo nchi.
Pia jeshi letu lianze mazoezi kujiweka tayari tayari kwa lolote
Kwani hapo Ukraine unadhani NATO hawashiriki? Hizo military supplies, mercenaries na vikwazo dhidi ya urusi ndo kushiriki kwenyewe. BTW hivi NATO walitumia muda gani kumwangusha Gadafi pale Libya? Vipi marekani na it's allies pale kwa Sadam Iraq ilikuwaje? Na vipi wamarekani wameshamuondoa Assad pale Syria? Naomba majibu tafadhali.Kama Ukraine wiki ya tatu hii hapo kyiv hamjakanyaga ndio mtawaweza NATO?
Kila kitu kimefungwa ndani ya muda.Hawana huo uwezo
Tunaweza kusema hivyo pia.Ni hatua ya kwanza kuelekea WW3.....if he goes down ,hatokwenda mwenywe
akikujibu naomba unitag tafadhali namie nijionee hayo majibu utojibiwaKwani hapo Ukraine unadhani NATO hawashiriki? Hizo military supplies, mercenaries na vikwazo dhidi ya urusi ndo kushiriki kwenyewe. BTW hivi NATO walitumia muda gani kumwangusha Gadafi pale Libya? Vipi marekani na it's allies pale kwa Sadam Iraq ilikuwaje? Na vipi wamarekani wameshamuondoa Assad pale Syria? Naomba majibu tafadhali.
Habari tamu sana hiziNimeiona hii habari Al Jazeera.
Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita amabyao hayajawahi kufanyika kabla.
Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni mazoezi ambayo hufanyika Kila baada ya miaka miwili yatahusisha kujikinga na mashambulizi ya nyukilia, na ainabalimbali ya mashambulizi.
Wazo langu,hata Urusi ilanza mazoezi namna hii huko Beralusi,na baadae ikaingia Ukraine.
NAKO TAIWAN,Leo hii.
Leo tarehe 16 machi 2022 Taiwan imeanza mazoezi makali sana ya kumzuia Adui asiingie katika visiwa hivyo,baada ya kuona Ukraine kavamiwa na Urusi
Naomba kuwasilisha.