Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sasa sii ndio katakuwa Kavita ka tatu ka dunia?Hatua ya kwanza kuelekea kumuondoa Mrusi ndani ya Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sii ndio katakuwa Kavita ka tatu ka dunia?Hatua ya kwanza kuelekea kumuondoa Mrusi ndani ya Ukraine.
Na kuliivuta Lori pale uwanja wa taifaTushafanya mazoezi ya kuvunja tofari mkuu bado nini tukumbushe basi..😊
Hapana! Dhidi ya adui yeyoteOooh Lord, labda dhidi ya Malawi
Kujiweka tayari sio kwa ajili ya kupigana tu, ni kwa ajili ya hatari yoyote inayoweza kuipata nchiKujiweka tayari kupigana na nani?
TumainiEl.Tunakulemaza na tuna kuchosha kisha tuna kutisha mwisho tunakupiga while huna nguvu kupigana na ukiwa na hofu mwisho tunakumalizia. Thanks Nato genius way.
Nimeelewa Jay One.NATO ni jike
Putin ni dume, umeelewa?