Leo tarehe 16 Machi 2022 NATO waanza mazoezi makali ya kijeshi

1647526747764.png
1647526747764.png
 
Hawakuwa na sababu ya kumuondoa Assad pale Syria kwasababu - walishaona hasara za kumuondoa kiongozi mwenye nguvu kubwa pale Libya ( strong man)- Kanali Ghadafi, Libya imekuwa nchi ambayo haitawaliki. Vile vile Assad angetoka - Syria haitatawalika itaongeza vurugu kwa nchi za ulaya. Siku zote maslahi yao kwanza.
US paper tiger
 
Mimi namshauri Mh. raisi wa Tanzania mama samia suluhu. Awaambie watanzania wote waliopo urusi na nchi za NATO warudi Tanzania haraka ikiwa pamoja na mabalozi wetu waliomo kwenye hizo nchi.
Pia jeshi letu lianze mazoezi kujiweka tayari tayari kwa lolote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi hatuna ubavu wa kujiandaa na hiyo vita
 
Nimeiona hii habari Al Jazeera.
Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla.

Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni mazoezi ambayo hufanyika Kila baada ya miaka miwili yatahusisha kujikinga na mashambulizi ya nyukilia, na ainabalimbali ya mashambulizi.

Wazo langu, hata Urusi ilanza mazoezi namna hii huko Beralusi na baadae ikaingia Ukraine.

NAKO TAIWAN,Leo hii.

Leo tarehe 16 machi 2022 Taiwan imeanza mazoezi makali sana ya kumzuia Adui asiingie katika visiwa hivyo, baada ya kuona Ukraine kavamiwa na Urusi

Naomba kuwasilisha.
Tunakulemaza na tuna kuchosha kisha tuna kutisha mwisho tunakupiga while huna nguvu kupigana na ukiwa na hofu mwisho tunakumalizia. Thanks Nato genius way.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi hatuna ubavu wa kujiandaa na hiyo vita
Nyukilia zikianza kupigwa tunatakiwa tujiandae kupokea wakimbizi kutoka Ulaya.
 
Mimi namshauri Mh. raisi wa Tanzania mama samia suluhu. Awaambie watanzania wote waliopo urusi na nchi za NATO warudi Tanzania haraka ikiwa pamoja na mabalozi wetu waliomo kwenye hizo nchi.
Pia jeshi letu lianze mazoezi kujiweka tayari tayari kwa lolote
Kujiweka tayari kupigana na nani?
 
Nimeiona hii habari Al Jazeera.
Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla.

Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni mazoezi ambayo hufanyika Kila baada ya miaka miwili yatahusisha kujikinga na mashambulizi ya nyukilia, na ainabalimbali ya mashambulizi.

Wazo langu, hata Urusi ilanza mazoezi namna hii huko Beralusi na baadae ikaingia Ukraine.

NAKO TAIWAN,Leo hii.

Leo tarehe 16 machi 2022 Taiwan imeanza mazoezi makali sana ya kumzuia Adui asiingie katika visiwa hivyo, baada ya kuona Ukraine kavamiwa na Urusi

Naomba kuwasilisha.

Na sisi tuanze mazoezi makali ya kuing'oa CCM madarakani.
 
Back
Top Bottom