Leo tarehe 16 Machi 2022 NATO waanza mazoezi makali ya kijeshi

Hawakuwa na sababu ya kumuondoa Assad pale Syria kwasababu - walishaona hasara za kumuondoa kiongozi mwenye nguvu kubwa pale Libya ( strong man)- Kanali Ghadafi, Libya imekuwa nchi ambayo haitawaliki. Vile vile Assad angetoka - Syria haitatawalika itaongeza vurugu kwa nchi za ulaya. Siku zote maslahi yao kwanza.
 
Mzee baba akiingiza mkono wake mahali hapo panakuwa pagumu
 
urusi ashachukua base zote ukraine, amechukua viwanja vya ndege, na ameshakontrol anga lote. sijii watapitia wapi. na ninajua hawawezi kuwateketeza waukraine waliobaki pale na warundi wakiwa ndani.
 
Watu wanapigwa Michi huko Vitani nyinyi mnafanya mazoezi,Fanyeni Mazoezi mkimaliza kaogeni mkalale.
 
Wanapoteza kodi za wananchi bure tu
 

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
NATO wakiingilia ugonvi tujiandae kwa ww3
Tufwile nyambara! tufwile umundu gwa kyala......
nitaacha ugali wangu na kambale
 
Kwa Saddam Hussein haikuwa marekani tu,ilikuwa nato nzima,
 
Huo ni ukweli usio kuwepo,Pentagon ilitangaza ikimtaka Assad ndani ya siku saba awe amejiuzuru,la sivyo Damascus itasambaratishwa na yeye kukamatwa,Kremlin ilitoa tamko,kuwa itajibu kwa nguvu zake zoote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…