Kumbe ndicho wanacho fanya hizi itakuwa za dubai.S22 plain sawa ila kama Ultra ni "kioo kidogo" sio full display. Inamaana imebadirishwa na kuwekwa kioo cheap.
Hapo sawa mkuu.Yaani S22 Ultra nyingi ni 1 Mil hadi 1.2 Mil, ukiona 600-700k ni kioo kidogo.
Imetoka 18Ukitaka kuiuza hiyo 16
Nichek mkuu