Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Watumiaji wa Samsung, asilimia 80 wanajinunulia na hawaendi na trend la kika toleo kama wale wa Iphone.

Kuna kundi kubwa la watu wa Iphone ni wazee wa kumaintain status, Kila new latest phone wanaitaka, na uchumi unawakataa sasa ndo wapenda vinyeo wanapata fursa hapo.

Any way,
Watu wapate simu kali kwa njia yeyote hile halali 😂
Naked truth.
 
Hii inawezekana! Kuna barbershop moja ukienda wafanyakazi wa pale wote(m&f) wana macho ma3
 
Back
Top Bottom