Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Sawa, swali hao wanaomiliki hizo Samsung nao wanaumiza sehemu za miili yao?
Maana hakuna utofauti wa gharama lakini nashangaa watumiaji wa iPhone kuambiwa wanaumizwa.!!
Kwa sababu mtu anayemiliki samsung anadhaniwa ana uhuru wa kifedha,ni kama mtu anayeingia hotel ya gharama kisha anakula ugali mchicha wenye bei sawa na chipsi samaki,watizamaji wataamini huyu mtu sio mshamba kabisa wa vyakula ghali,haongozwi na mizuka.

Japo sikubaliani na mtizamo huu,lakini hatuwezi upinga moja kwa moja maana kuna vijana kike/kiume linapokuja swala la simu iphone wanakuwa wehu kabisa,hata huko ilipo,kuna watakaolala nje ya maduka kusubiri yafunguliwe siku inatoka.
Mtu aina hii,anaweza akakupa picha iphone ina thamani ipi kichwani mwake.
 
Siku hizi sherehe za uzinduzi wa simu na vifaa vipya vya Apple zimepoa kama mkojo wa shoga

Jamaa kwenye innovations hawana jipya miaka hii. Wanatembelea jina la brand
​
Siku hizi sherehe za uzinduzi wa simu na vifaa vipya vya Apple zimepoa kama mkojo wa shoga

Jamaa kwenye innovations hawana jipya miaka hii. Wanatembelea jina la brand
​
Apple walichofanikiwa sio kuuza bidhaa,ni kuuza emotion.
Mfanye mtu aamini hayuko sawa akiikosa bidhaa unayozalisha.

Ndio sababu mtu anawezapata pixel,au samsung ya bei kubwa kama apple lakini bado akahisi hayuko sawa,mpaka awe na iphone.
 
nilikuwa nacheki specs, naona 8k video recording support wameipotezea.

nilikuwa naona rumours nyingi zilikuwa zinasuggest Pro models zitakuja na 8K video recording support. Ila almost kila kitu kama tulivyotegemea hata Titanium wameitema (isipokuwa kwa Air model) wamerudi kwa Aluminum.
 
Umenikumbusha kuna mtu aliniambia tukiwa porini eti ona chuma hiko kinapiga kazi hakiishi chaji (Tecno). Hapo simu yangu imezima chaji natumia powerbank 😹😹😹

Tecno macho matatu ila km plate za jiko hayo macho..!!
🤣🤣🤣 tecno hoyeeeee chuma ya kazi.
Achana na macho, cha msingi ni matatu🤣
 
Sawa naweza kutumia iCloud+ halafu nikawa na microSd card kwa sehemu ambazo sina internet access?
Hapo hauwezi, sema kama wanapush eSIM-only models sokoni maana yake hawawezi kutaka kurudi nyuma. SIM card tray itaondolewa tu nayo labda kwa masoko yenye policy za kitata , hapa naona wataongeza internal storage mpaka 2TB au wataleta memory stick
 
No walichowin Apple ni Apple ecosystem
Watumiaji 80% wa bidhaa za apple wanatumia Primary product ambayo ni simu pekee.

Angalia takwimu za mauzo,utakuta mfano simu ni milioni 35,computer milioni 3,ipad,milioni 3,saa za mkononi milioni 5,ipods milioni 4.hii ni dalili kwamba kinachowaweka wateja ni kingine sio muongiliano wa bidhaa zao.
Zingatia pia wapo watumiaji wa hizo bidhaa nyingine haitaki iphone kabisa,mtu ana computer tu ila simu anatumia kampuni nyingine.so wanaotumia ecosystem ya apple angarau kwa bidhaa 3 ni % chache sana.
 
Hapo hauwezi, sema kama wanapush eSIM-only models sokoni maana yake hawawezi kutaka kurudi nyuma. SIM card tray itaondolewa tu nayo labda kwa masoko yenye policy za kitata , hapa naona wataongeza internal storage mpaka 2TB au wataleta memory stick
Nilikuwa Apple store weekend iliyopita naona kwenye iPad kuna storage mpaka 2 TB tayari.

Ila mimi nina kama microSD cards 100 hivi zina data tofauti na wakati wowote naweza kuihitaji yoyote, kuweza kutumia microSD card muhimu sana.
 
Hapo hauwezi, sema kama wanapush eSIM-only models sokoni maana yake hawawezi kutaka kurudi nyuma. SIM card tray itaondolewa tu nayo labda kwa masoko yenye policy za kitata , hapa naona wataongeza internal storage mpaka 2TB au wataleta memory stick
Wanachowaweza walimwengu hawa jamaa ni kucheza na akili zao tu,yaani hawakuondoa physical sim kiholela tu,wanakuaminisha kwamba nafasi yake wameongeza ukubwa wa bettry😁😁😁.

So mnasukumwa kwenye Esim ila kidiplomasia.
 
Summary ya specs:
IMG_4991.jpeg
 
Back
Top Bottom