Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Hapo hauwezi, sema kama wanapush eSIM-only models sokoni maana yake hawawezi kutaka kurudi nyuma. SIM card tray itaondolewa tu nayo labda kwa masoko yenye policy za kitata , hapa naona wataongeza internal storage mpaka 2TB au wataleta memory stick
Sidhani kama watakimbilia kwenye 2TB mapema maana wanataka baadae watulipishe kwenye cloud storage kwa lazima.

Wanataka wapate kwenye hardware na software pia. Kama ambavyo walikuwa wanaipunguza Spotify nguvu ila watumiaji walazimike kwenda Apple Music mpaka pale Spotify ilipofungua kesi mahakama ya Ulaya wakapigwa faini.
 
Yeah uko sahihi kabisa
 
Sawa, swali hao wanaomiliki hizo Samsung nao wanaumiza sehemu za miili yao?
Maana hakuna utofauti wa gharama lakini nashangaa watumiaji wa iPhone kuambiwa wanaumizwa.!!
Washamba na wasio na hela ndio hukimbilia kusema hivyo. Au wale ambao iPhones zimewashinda kama mimi nimeachana nayo iOS siielewi alafu mambo yangu mengi yako kwenye Android hata JF nikiwa na iPhone siitumii.
 
Kwenye design air itakuwa simu pendwa.

Japo specs pro models wamejitahidi kupandisha standard za industry.
Nilishuhudia wadada kibao wakiitema Pro (12,13&14Pros) na wakichukua iPhone 16 kwa sababu ya muonekano wa camera na rangi zake.

Hapo Pro imepata muonekano mpya wa camera inazifanya models zote tokea iPhone 11 Pro zionekane za zamani kwa hiyo hiyo ni boost. Base iPhone 17 nayo itakimbiza.

Hiyo Air kwangu naona kama ile iPhone 16e, tusubiri generations zinazofuata, hazitakuwa na maajabu sokoni ukilinganisha na models nyingine.
 
Watumiaji 80% wa bidhaa za apple wanatumia Primary product ambayo ni simu pekee.

Angalia takwimu za mauzo,utakuta mfano simu ni milioni 35,computer milioni 3,ipad,milioni 3,saa za mkononi milioni 5,ipods milioni 4.hii ni dalili kwamba kinachowaweka wateja ni kingine sio muongiliano wa bidhaa zao.
Zingatia pia wapo watumiaji wa hizo bidhaa nyingine haitaki iphone kabisa,mtu ana computer tu ila simu anatumia kampuni nyingine.so wanaotumia ecosystem ya apple angarau kwa bidhaa 3 ni % chache sana.
Apple wanapiga mtonyo kwemye product na services

Screenshot_20250909-232409_Chrome.jpg

31973.png
 
Back
Top Bottom