binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Airpods binafsi I prefer zile design za zamani kwa upande wa comfortability.
Ila kwa upande wa ANC, salute.
Ila kwa upande wa ANC, salute.
Hilo gari basi umeumia zaidi dada Yangu, pole.... Tena kwa herufi kubwaHivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??
Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Kazi wanayo.... Wamatembeza vinyeoNa unaweza poteza yote kabisa. Alafu si kwamba anayetoa 2.2M hana maisha au kazi ya kufanya mpaka umshauri afuge kuku.
Ko shoga ako wee ana mkojo umepoa, bas unahisi kila shoga yuko hivyo? LolSiku hizi sherehe za uzinduzi wa simu na vifaa vipya vya Apple zimepoa kama mkojo wa shoga
Jamaa kwenye innovations hawana jipya miaka hii. Wanatembelea jina la brand
Muda mrefu Sana hakuna kipya, mafans wa iphone ni sawa na mashabiki wa Simba na YangaSiku hizi sherehe za uzinduzi wa simu na vifaa vipya vya Apple zimepoa kama mkojo wa shoga
Jamaa kwenye innovations hawana jipya miaka hii. Wanatembelea jina la brand
Wewe una trauma ya kupewa vitu na kulipia kwa maumivu..!!Hilo gari basi umeumia zaidi dada Yangu, pole.... Tena kwa herufi kubwa
Tusiwaache mate, inawezekana wao wanaipata kwa style hiyo hatuwezi kuwabishia 😹😹🤣😅😅 Hii nchi we acha tu!
Ni kweli kabisa, ni sawa na wenye magari kuwabeza watu wa Ist na kuwapangia ni ya jinsia fulani..!!Washamba na wasio na hela ndio hukimbilia kusema hivyo. Au wale ambao iPhones zimewashinda kama mimi nimeachana nayo iOS siielewi alafu mambo yangu mengi yako kwenye Android hata JF nikiwa na iPhone siitumii.
Nilikuwa nafatilia documentary fulani, jamaa alikuwa ana uza kampuni yake ila ili bidi kwanza ahame jiji husika ili kukimbia kodi aisee.Na ukiwa Marekani, kodi hutegemea eneo ulilopo pia!
Kodi hazilingani kabisa.
Ilikuwa LA au NY? Maana kodi za huko watu wanazikimbia sana.Nilikuwa nafatilia documentary fulani, jamaa alikuwa ana uza kampuni yake ila ili bidi kwanza ahame jiji husika ili kukimbia kodi aisee.
NY mkuuIlikuwa LA au NY? Maana kodi za huko watu wanazikimbia sana.
kuna dada mmoja nlimkuta kwenye range rover sport pale gentleman analia ndani ila kasahau kufunga kioo cha kushoto. Hio siku nlikua gambe kinoma nikamfuata nikamuuliza "Shida nn dada" akasema kwa uchungu sana "Aisee alieninunulia hii range ataniuwa mie," sikutaka kumuuliza zaidi nikampa tissue ajifute nikaondoka zangu kuelekea kitambaa cheupe kuchukua fungu langu la pisi za 2000Hilo gari basi umeumia zaidi dada Yangu, pole.... Tena kwa herufi kubwa
Asset ipo NY wewe upo Houston na unauza hiyo asset Yako utawezaje kukwepa Kodi ya kule NY?NY mkuu
Hivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??
Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
We mchoyo tuBakini huko huko labda kama vp uende state za kimasikini kama new Mexico,Louisiana, Kentucky, Mississippi huko
HahahahahaWe mchoyo tu
HahahahaahaWe mchoyo tu