Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Wenye mahaba Yao ya kichina wamekuja
Tecno Spark 40 na Iphone 17 pro
tecno-spark-40-spark40-1-4157962898.jpg
iphone17pro_3f6cda8068-3502465672.jpg
 
Maombi please kwa wote wenye dada hasa kwa daslama na wanachuo wakike wote.
Shida ya wanawake sio kama hawana hizo dolari 1000 za kununua simu, ni pesa ambayo mpambanaji yoyote akikaza anaweza kudunduliza. Ila shida ya wanawake wengi hawapo tayari kutumia pesa zao mfukoni kujinunulia vitu vya gharama/vizuri, wanataka wanunuliwe tu wakiamini ndio mapenzi. Kama nawaona wanavyoenda kupigwa gongo[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom