Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Hivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??

Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Ukikutana na huyu na umebeba iphone 17 yako fanya ile setting "thank you Mrs Daby for charging your iPhone 17that you bought without opening your legs".
 
Ukikutana na huyu na umebeba iphone 17 yako fanya ile setting "thank you Mrs Daby for charging your iPhone 17that you bought without opening your legs".
😹😹😹 Hata nikifanya hiyo challenge atabisha kashakariri bila kufungua miguu huwezi kupata iPhone..!!

Inawezekana dada zake wamemuaminisha hivyo..!!
 
Back
Top Bottom