Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Watapata tabu mnowanakuelewa sasa? Wakat wana alosto ya kutamba na new model.
Watapata tabu mnowanakuelewa sasa? Wakat wana alosto ya kutamba na new model.
Na wanaume wanaumia kwenye vikubwa?Wanawake huwa wanaumia kwenye vitu vidogo vidogo...
na hawata pumua hawa waenda na upepo.Watapata tabu mno
😀😀😀😃na hawata pumua hawa waenda na upepo.
Maana kila siku ni update mpya.
Hapana sio kweli. Ukaaji wa chaji kwenye simu ni vitu vingi, sio tu mAhmAh ya battery ndiyo inaamua sio aina ya simu
View attachment 3468984
Yeah ingawa simu za Android zimejiimarisha sana kwenye fast chargingMno mno.. hizi namba za juu ukichaji ni siku nzimaa mpaka kiza kinaingia.
Sio kina dada pekee na walioleft pia.Oooops! Ni muda tena wa dada zetu kuumia
Ukitumia baada ya Nusu Saa inaisha Charge😂😂 .. Wengine wana betri la 5000mah wao wana 2500mahNimeipenda 17 air
Kioo 6.6 not bad nikilinganisha na hiki 6.7
Don't take it serious bibie.Hivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??
Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Wadada wenye simu za gharama wanajazana kwenye daladala tofauti na wanaume..unamiliki descent phone unashindwa kutumia descent transport.. conclusion ni moja tu hawatumia pesa kuipata.Hivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??
Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Chaja mnatembea nazo za nini?Mno mno.. hizi namba za juu ukichaji ni siku nzimaa mpaka kiza kinaingia.
KabisaSio kina dada pekee na walioleft pia.
Vilevile kuna aliyetoka 14 atakuja 17, na wala simu sio camera peke yake. Hata Pixel 9 Pro na Pro XL zina camera sensors sawa na Pixel 10 Pro na Pro XL na hili halifanyi watu wasinunue.Mimi huwa natoka kwa 3 version, nilikuwa 13 sasa niko 16, sichukui mpaka 19....
Nawachora tu
kwanza mbona camera yangu ya 16 haipishani na 17
View attachment 3468654iPhone 16 - Technische specificaties - Apple Support (NL)
iPhone 16 - Technische specificatiessupport.apple.com
Na wanaume wanaumia kwenye vikubwa?
Hio $1000=2.2M ukiinvest kwenye poultry production after six months unapiga hela ya kutosha.
Hapana sio kweli. Ukaaji wa chaji kwenye simu ni vitu vingi, sio tu mAh
Kuna size of display, type of display, software optimization nk vyote hivi vina mchango kwenye kiasi gani simu inatunza chaji
Mfano, tuchukue hii comparison ya utunzaji chaji kutoka kwa utafiti wa GSMArena halafu tuone
Unaona simu yenye battery life score kubwa ni Samsung Galaxy S24 Ultra (24:46h) yenye 5000mAh, lakini umejiuliza kwa nini sio Honor Magic 6 Pro (5600mAh) ambayo ndio ina battery kubwa kuliko zote? Angalia iPhone 16 ina 3561mAh na bado inakimbizana na Honor Magic 6 lro yenye 5600mAh kwenye ukaaji wa chaji
Achilia mbali hivyo, angalia iPhone 16 ina 3561mAh lakini inatunza chaji kuliko Xiaomi 14 Ultra, Xiaomi 13 Ultra na Oppo Find X7 Ultra zenye 5000mAh kila moja
Bado kuna iPhone 16 Pro Max yenye 4685mAh ambayo inatunza chaji sawa na S24 Ultra na inazidi hizo nyingine zote kwenye ukaaji chaji
Kwa hiyo sio sahihi kusema mAh ndio inaamua ukaaji wa chaji
View attachment 3468999
Ukitumia baada ya Nusu Saa inaisha Charge😂😂 .. Wengine wana betri la 5000mah wao wana 2500mah
waulize wanaotembea nazo. Mkoba wangu hauna chaji..Chaja mnatembea nazo za nini?
Kwa sababu ni rahisi kuweka mAh kubwa kuliko kutengeneza software yenye good battery optimisationIla mAh ndiyo mpango mzima, jiulize kwa nini watengeneza simu wote kwenye specs huwa wanazingatia mAh ya battery? Hivyo vitu vingine ni minor sana