Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwan tanzania nayo ikiruhusu hayo mambo ya kishoga utahama nchi?Sasa subiri uone unafiki wa kiafrika at its best... watu wataendelea kushabikia na ku-support hizo team kwa mapenzi yao yote... alafu ikija issue ya ushoga utawaona tena hapa wakitokwa na mapovu ya hasira... alafu utawasikia wakijitete kwa majibu mepesi mepesi kama vile, 'oh mie nashabikia tu mpira'
Weeeee ishia hapo hapo cc arsenal wamekataa hloUwiiiiiiii hadi Arsenal pia?[emoji87] [emoji134]
Nitafurahi sana kama ni kweli, nitazidi kuipenda Arsenal zaidi na zaidi!Weeeee ishia hapo hapo cc arsenal wamekataa hlo
Arsenal wameanza Muda mrefu Sana hii.... Wanalo hadi jukwaa la gays... Gay gooners wanajiitaWeeeee ishia hapo hapo cc arsenal wamekataa hlo
tena hao wana jukwaa maalumu la mashogaUwiiiiiiii hadi Arsenal pia?[emoji87] [emoji134]
Only this weekend kweli?Najipiga ban kuiangalia epl this weekend.
Arsenal hapana neverUwiiiiiiii hadi Arsenal pia?[emoji87] [emoji134]
[emoji123] [emoji379]Arsenal hapana never
Hapana mkuu,mimi nipo Santiago Bernabeu.Hahahaa kama ni hivyo UEFA watakuwa waisikia tu.....
Ukht Nifah njoo Catalunya bhana....
Yaani na wao ndo wale wale.Hii inamaanisha wote mnaoshangilia hizo timu mnaunga mkono ushoga.
Jiuzulu kuangalia kwani hakuna utakachopoteza mkuuNajipiga ban kuiangalia epl this weekend.