Leo timu zote za ligi kuu England kuvaa vitambaa vya kuunga mkono Ushoga

Leo timu zote za ligi kuu England kuvaa vitambaa vya kuunga mkono Ushoga

Sasa subiri uone unafiki wa kiafrika at its best... watu wataendelea kushabikia na ku-support hizo team kwa mapenzi yao yote... alafu ikija issue ya ushoga utawaona tena hapa wakitokwa na mapovu ya hasira... alafu utawasikia wakijitete kwa majibu mepesi mepesi kama vile, 'oh mie nashabikia tu mpira'
mkuu kwan tanzania nayo ikiruhusu hayo mambo ya kishoga utahama nchi?
 
Hahahaa kama ni hivyo UEFA watakuwa waisikia tu.....

Ukht Nifah njoo Catalunya bhana....
 
Back
Top Bottom