Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

Mkuu unaonekana hufuatilii mpira vizuri.Hivi unaamini kbsa yule mnyonge Westham anaweza kuichallenge city katika Etihad.

Hakuna mechi rahisi kwa City kushinda Kama ile ya Westham.
West ham Wana majitu yakiamua kulipaki,hushindi
 
Tottenham hii ya Big Ange isiyoweza kudefend?
 
Tottenham hawezi kumfunga Man city,yaani apoteze points kwa vitimu vingine vya kawaida halafu achukue kwa Man city? Sahau
Umeandika kama mtu ambaye hajui lolote kuhusu mpira.November 1 2023 man city akiwa nafasi ya juu alifungwa 2-0 na southampton timu iliyokuwa mkiani kabisa.
Kwa wanaojua soka Tot kumfunga city sio muujiza.
 
Kwenye EPL timu pekee ambayo Ni threat kwa Arsenal is non other than Manchester City,, timu zingine zote Ni miyeyusho tu.

Hi City tutaenda nayo jino kwa jino mpaka tutwae ubingwa bila kujali Muda.
Kwenye EPL washindani ni wawili tu. Liverpool na Man City. Arsenal msimu huu ni ngekewa tu
 
Kwenye EPL washindani ni wawili tu. Liverpool na Man City. Arsenal msimu huu ni ngekewa tu
Unanishangaza Sana unapoitaja Liverpool.
Last season Liverpool walikuwa number ngapi mwishoni mwa msimu?
Huu msimu baada ya kutongoza ligi kwa Muda mrefu wakamuua kobottle.

Mshindani mkubwa wa City Ni Arsenal & vice versa.
 
Mimi Ni Arsenal die hard Kama wewe na natamani Sana City wadondeshe point kule Spurs ili tuwe na upper hand ya kushinda taji.

Bt mathematically Ni vigumu Sana.
Ni ngumu mno lakini tuwaombee njaa hivyo hivyo bado tuna nafasi last game of the season.
 
Spurz kapigwa na Chelsea vizuri tu, Arsenal mpaka HT away tukaongoza 0-3, juzi Burnley na ubovu wao wametangulia kupata goli kwa Spurz ndio Spurz wakatoka nyuma kushinda 2-1..

Kisha uwategemee hao jamaa leo kumfunga City, yatakuwa ni maajabu!.
 
Duh, sawa correspondent 😂😂. Naitakia Totenham ushindi ama sare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…