Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
FT 0-2 MANCITYNIKO PALE KWA MASAWE WAKALAAAAA
MAN CITY ANASHINDA NA MAGOLI MAWILI NK .. FOBEN
HALAND NA BEKI MMOJA KATIYAO WATASHINDA...
HALLAND TO SCORE YES
HII NDIO MANCITY ATUKOSEI LALA SALAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FT 0-2 MANCITYNIKO PALE KWA MASAWE WAKALAAAAA
MAN CITY ANASHINDA NA MAGOLI MAWILI NK .. FOBEN
HALAND NA BEKI MMOJA KATIYAO WATASHINDA...
Ubingwa ulikua wazi huku wewe hujielewi yaani ubingwa uwe wazi mbele ya pep guardiolaSikupingi ila kwa jicho langu la kisoka sikuona totenham kama anaweza mzuia city asichukue point 3. Kuhusu westham tungoje muda utaongea kama itakua ni tofauti ni sawa pia ndio mpira wa miguu ulivyo ila arsenal ubingwa ulikuwa wazi tulizingua wenyewe ikumbukwe tulishakuwa na gap zuri tu la points ila zilidondoshwa kizembe sana.
Pep huyo huyo watu wamebeba mbele yake acha ulofa.Ubingwa ulikua wazi huku wewe hujielewi yaani ubingwa uwe wazi mbele ya pep guardiola
Wewe ndio lofa arsenal kabeba lini ubingwa mbele ya pep bwege wewe au unaotaPep huyo huyo watu wamebeba mbele yake acha ulofa.
Niquote niliposema arsenal kabeba PL mbele ya pep.Wewe ndio lofa arsenal kabeba lini ubingwa mbele ya pep bwege wewe au unaota
Neno "epl" ni la kuzingatiwa shuleni tuliitwa wenye akili kwa maneno madogo kumbe ni umakini wa mambo madogoEbu badilisha kauli yko,mancity hajawahi pata goli pale spurs arena, Tottenham FA alitolewa na nani na ktk uwanja gan.
Wewe bwege kweli umesema mbio ziko wazi ndio Mimi nikakuambia mbele ya pep unasema mbio zipo wazi naona haujielewi halafu usifananishe Liverpool na arsenal ni maji na mafuta timu Ina UEFA 6 unafananisha na arsenal ambayo hata ndoo ya maji ya UEFA hainaNiquote niliposema arsenal kabeba PL mbele ya pep.
Sasa hapo ndio nimesema kuwa arsenal imebeba ubingwa? Mbona wewe ndio hujielewi wapi nimefananisha liverpool na arsenal?Wewe bwege kweli umesema mbio ziko wazi ndio Mimi nikakuambia mbele ya pep unasema mbio zipo wazi naona haujielewihalaf usifananishe Liverpool na arsenal ni maji na mafuta timu Ina UEFA 6 unafananisha na arsenal ambayo hata ndio ya maji ya UEFA haina
Mbuzi wewe chukua Sasa huo ubingwa kama Upo waziSasa hapo ndio nimesema kuwa arsenal imebeba ubingwa? Mbona wewe ndio hujielewi wapi nimefananisha liverpool na arsenal?
Acha kuibua hoja ambazo sijaziibua mimi alafu sipo hapa kukejeliana twende kwa facts za kimpira na sio maneno ya kishenzi shenzi.
Siyanakuwa magoli ma3 sasa[emoji23]NIKO PALE KWA MASAWE WAKALAAAAA
MAN CITY ANASHINDA NA MAGOLI MAWILI NK .. FOBEN
HALAND NA BEKI MMOJA KATIYAO WATASHINDA...
Huu ndo ukweli hakuna team yeyote ulaya inayoweza kusimama dhidi ya City at least Liverpool kwenye ile away game yao ilioisha 1 kwa 1 niliona Man City akihaha, ila hawa Madrid na Arsenal ni ngekewa tu. Hao Madrid na Arsenal walipaki basi karibu gemu nzima wanapigwa msako.Man city ya Pep inafugwa na yoyote mechi za mapema sio mechi kumi za mwisho ,arsenal na madrid walipaki basi ikawasaidia westham hana huo uwezo viumbe hao wakiuliza maswali,kiufupi wanakela sana spurs waliamua kueaumiza kwa makusudi maana toka pep aje epl hata goli akuwahi kupata spurs arena lakini jana yakapatikana kwasababu yanahitajika