Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

NIKO PALE KWA MASAWE WAKALAAAAA

MAN CITY ANASHINDA NA MAGOLI MAWILI NK .. FOBEN
HALAND NA BEKI MMOJA KATIYAO WATASHINDA...
FT 0-2 MANCITY
HALLAND TO SCORE YES
HII NDIO MANCITY ATUKOSEI LALA SALAMA
 
MAN CITY ANASHINDA MAGOLI MAWILI OR MORE
💯 💯

HALLANDA TO SCORE
💯 💯
.NIKO KWA WAKALA MASSAWE ENDELEA KUSUBIRIA MANCITY AFUNGWE
 
Sikupingi ila kwa jicho langu la kisoka sikuona totenham kama anaweza mzuia city asichukue point 3. Kuhusu westham tungoje muda utaongea kama itakua ni tofauti ni sawa pia ndio mpira wa miguu ulivyo ila arsenal ubingwa ulikuwa wazi tulizingua wenyewe ikumbukwe tulishakuwa na gap zuri tu la points ila zilidondoshwa kizembe sana.
Ubingwa ulikua wazi huku wewe hujielewi yaani ubingwa uwe wazi mbele ya pep guardiola
 
Ebu badilisha kauli yko,mancity hajawahi pata goli pale spurs arena, Tottenham FA alitolewa na nani na ktk uwanja gan.
Neno "epl" ni la kuzingatiwa shuleni tuliitwa wenye akili kwa maneno madogo kumbe ni umakini wa mambo madogo
 
Wewe bwege kweli umesema mbio ziko wazi ndio Mimi nikakuambia mbele ya pep unasema mbio zipo wazi naona haujielewihalaf usifananishe Liverpool na arsenal ni maji na mafuta timu Ina UEFA 6 unafananisha na arsenal ambayo hata ndio ya maji ya UEFA haina
Sasa hapo ndio nimesema kuwa arsenal imebeba ubingwa? Mbona wewe ndio hujielewi wapi nimefananisha liverpool na arsenal?

Acha kuibua hoja ambazo sijaziibua mimi alafu sipo hapa kukejeliana twende kwa facts za kimpira na sio maneno ya kishenzi shenzi.
 
F
Sasa hapo ndio nimesema kuwa arsenal imebeba ubingwa? Mbona wewe ndio hujielewi wapi nimefananisha liverpool na arsenal?

Acha kuibua hoja ambazo sijaziibua mimi alafu sipo hapa kukejeliana twende kwa facts za kimpira na sio maneno ya kishenzi shenzi.
Mbuzi wewe chukua Sasa huo ubingwa kama Upo wazi
 
Man city ya Pep inafugwa na yoyote mechi za mapema sio mechi kumi za mwisho ,arsenal na madrid walipaki basi ikawasaidia westham hana huo uwezo viumbe hao wakiuliza maswali,kiufupi wanakela sana spurs waliamua kueaumiza kwa makusudi maana toka pep aje epl hata goli akuwahi kupata spurs arena lakini jana yakapatikana kwasababu yanahitajika
Huu ndo ukweli hakuna team yeyote ulaya inayoweza kusimama dhidi ya City at least Liverpool kwenye ile away game yao ilioisha 1 kwa 1 niliona Man City akihaha, ila hawa Madrid na Arsenal ni ngekewa tu. Hao Madrid na Arsenal walipaki basi karibu gemu nzima wanapigwa msako.

Ile gemu Arsenal kashinda 1 dhidi ya City akiwa home nayo ilikuwa ni bahati tu lakini magoli ya City unaona kabisa kuwa majamaa wanatafuta goli haswa.
 
Back
Top Bottom