Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Siku napiga chabo tu maana nilikua macho.
Vibaka wanaingiza ndoano lao lile waivue simu ilikua kitandani na inaonekana maana tv ilikua on.
Sasa ile lile ndoano linakaribia kunasa simu nikalinasa mimi bana vuta ndani kwa nguvu zote naskia nje uko brother achia basi mi ndo nikaendelelea kulivuta ndani kwa nguvu zote.
😅😅😅😅
Wale mateja sijui walijifunga kiunoni ama shingoni.
Bana badae sijui walijiokoa vipi wakatoka baru balaa wakaniachia lindoano lao la kuvua simu.

Hiyo Mwananyamala mitaa ya daladala camp miaka hiyo au garage mchangani.
 
Nyie wapangaji wa kiume mbona mnabadilisha sana wanawake

Ndio maana huwa sipendi wapangaji ambao hawana familia hapa kwangu kwa nini usitafute mwanamke mmoja ukatulia nae

Mkataba wenu kila mmoja ukiisha siwahitaji hapa kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…