shylock
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 795
- 1,334
Huyu atakuwa Kilawo maana tangu shemeeela aondoke anakuja na mpya daileJamani huu sio ustaarabu nani katupa kondomu zake huku chooni zinavuja mabaoView attachment 1733529
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu atakuwa Kilawo maana tangu shemeeela aondoke anakuja na mpya daileJamani huu sio ustaarabu nani katupa kondomu zake huku chooni zinavuja mabaoView attachment 1733529
KhahJamani huu sio ustaarabu nani katupa kondomu zake huku chooni zinavuja mabaoView attachment 1733529
Na leo kaingiza mwanaume mwingine..
Ila shem ukivaa dela linakutoa poa [emoji85][emoji85]Dagaa wanatuumiza pua wenzenu
Alaf vyumba havina dali [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]huyu wa leo ana makelele
Na ushahidi .....unawaziba ngebe wataka pichaJamani huu sio ustaarabu nani katupa kondomu zake huku chooni zinavuja mabaoView attachment 1733529
Ila swaiba mbona wewe na mwenye nyumba kuna namna maana sio kwa mikado hiyo😀😀😀😀Heeeh kumbe hanijui ww ngoja nikamuwashie moto japo sina kiberiti
Nyie wapangaji wa kiume mbona mnabadilisha sana wanawakeNimejaribu kuwaza hapa vitu, vituko nilivyokutana navyo nyumba ya kupanga nikajikuta nacheka mwenyewe.
Sasa basi naamini kila mtu ana vitu na changamoto na vituko anakutana navyo ,so tunaanza kushuka coment na kujibizana kama watu tuishio nyumba za kupanga tufanye wapangaji tuko wengi. Kwahyo fanya kama tunaishi hizo nyumba tukiwa majirani.
Mama mwenye nyumba ni Shunie
Nanza mimi
Jamani majirani nauliza nani Kachukua kopo la chooni, silioni humu…
… .