Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Nyie wapangaji wa kiume mbona mnabadilisha sana wanawake

Ndio maana huwa sipendi wapangaji ambao hawana familia hapa kwangu kwa nini usitafute mwanamke mmoja ukatulia nae

Mkataba wenu kila mmoja ukiisha siwahitaji hapa kwangu
Aisee mwana, maza house anatuonea gere jinsi tunavyovusha vimwana. Kama vipi tuwaibukie binti zake Miss Natafuta na cariha ili wanase mtegoni
 
Nimejaribu kuwaza hapa vitu, vituko nilivyokutana navyo nyumba ya kupanga nikajikuta nacheka mwenyewe.

Sasa basi naamini kila mtu ana vitu na changamoto na vituko anakutana navyo ,so tunaanza kushuka coment na kujibizana kama watu tuishio nyumba za kupanga tufanye wapangaji tuko wengi. Kwahyo fanya kama tunaishi hizo nyumba tukiwa majirani.
Mama mwenye nyumba ni Shunie
Nanza mimi


Jamani majirani nauliza nani Kachukua kopo la chooni, silioni humu…


… .
Mama mwenye nyumba anaanikaga michupi yake mikubwa mlangoni kwangu
 
Back
Top Bottom