Leo tuikumbuke World Cup ya 2010 pale South Africa

Leo tuikumbuke World Cup ya 2010 pale South Africa

Nilivutiwa sana na mshambuliaji wa Brazil Luis Fabiano alicheza vizuri sana mechi dhidi ya Ivory Coast ,akapotea kirahisi baada ya michuanoView attachment 2177586
Kipindi hiko anakipiga Sevilla kosa kubwa nadhani ni kurudi kwao Brazil pale ndipo mambo yote yakaenda kombo.

Ni kama leo hii Winga Douglas Costa eti hachezi tena Ulaya, alirudi Brazil kisha kaenda Marekani kucheza MLS.

Wabrazil huwa wanakwamishwa sana na starehe plus tamaa ya pesa
 
Tulipigwa 1-5 goli letu alifunga Jabir Aziz Steamer.Kuna jamaa mwanafunzi wa Green Acres aliruka akaingia uwanjani kumkumbatia Kaka.Alichezea virungu balaa
Baada ya hii mechi, Abdulhalim Humoud akasema Brazil hawajatuzidi chochote ila wana bahati. Mpaka leo najiulizaga Humud huwa anatumiaga bangi ya wapi kati ya Lilongwe au Kapirimposhi?
 
Suarez aka upatu shujaa wa Uruguay alidaka mpira, nilifurahi sana kwa uwezo ule wa kuwa golikipa na niga kukosa penati
 
Kipindi hiko anakipiga Sevilla kosa kubwa nadhani ni kurudi kwao Brazil pale ndipo mambo yote yakaenda kombo.

Ni kama leo hii Winga Douglas Costa eti hachezi tena Ulaya, alirudi Brazil kisha kaenda Marekani kucheza MLS.

Wabrazil huwa wanakwamishwa sana na starehe plus tamaa ya pesa
Wacha wale raha bwana wanakuwa wametoka maisha duni sana....tunaongea tuu ila kulipwa mil100 kwa wiki sii mchezo. Inakuwezesha kula mbususu utakavyo
 
Nakumbuka kizazi bora cha dhahabu ,cha spain lilikuwa soka la burudani ,
 
Suarez aka upatu shujaa wa Uruguay alidaka mpira, nilifurahi sana kwa uwezo ule wa kuwa golikipa na niga kukosa penati
Aliwahi kuhojiwa mwaka 2020 na kusema kuwa hajawahi kujutia kitendo kile hali iliyoibua kutoneshwa kwa kidonda cha waafrika wenye machungu na mechi ile
 
Nakumbuka nusu fainali German vs spain ,goli la kichwa la carlos puyol ,Andreas iniesta alitawala kiungo ,sami khedira na mesut ozili waliutafuta mpira kwa tochi
Mechi ile ndio iliyowafanya Spain wajawe na morali ya kutwaa ubingwa, maana Germany alikuwa anaua mechi zake za nyuma kuanzia goal 3 mpaka 4
 
Huyu alikuwa ni mmoja wa mastaa wa kombe la dunia mwaka 2010 unaweza kumkumbuka?

237214C7-6E96-443E-A775-92FEEAB36BB7.jpeg
 
Back
Top Bottom