Leo tuikumbuke World Cup ya 2010 pale South Africa

Leo tuikumbuke World Cup ya 2010 pale South Africa

Mimi namkumbuka Fundi Diego Forlan jinsi alivyokuwa anaupiga mpira wa jabulani kwa ustadi wa Hali ya juu Sana.
 
Watu weupe hawapend kabisa vitu vinavyoanzia afrika,hawakuyapenda kabisa mavuvuzela

Na mimi siku hz nimetokea kuyachukia sana,pia nachukizwa sana na baadhi ya mashabik hapa afrika hasa nchi za kiarabu wale wanaotumia vipaza sauti vodogo kuwaibisha mashabik

Kama nyie ni mashabik wa kwel tumieni tu mdomo mtasikika
 
Back
Top Bottom