balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Tulipigwa 1-5 goli letu alifunga Jabir Aziz Steamer.Kuna jamaa mwanafunzi wa Green Acres aliruka akaingia uwanjani kumkumbatia Kaka.Alichezea virungu balaaNimekumbuka Taifa Stars Walivocheza na Brazil uwanja wa Taifa enzi hizo.Tulipigwa Mabao mawili ehe.Mgeni Rasmi mzee wa msoga Rais .
Cha kushangaza mwamuzi Howard Webb hakutoa red cardIlikuwa inamvuto wa kipekee ,nakumbuka rafu ya Nigel de Jong aliyo mchezea Alonso nilikuwa naipiga kwenye chandimu ikiaanza mida ya vurugu mechiView attachment 2177585
Kipindi hiko anakipiga Sevilla kosa kubwa nadhani ni kurudi kwao Brazil pale ndipo mambo yote yakaenda kombo.Nilivutiwa sana na mshambuliaji wa Brazil Luis Fabiano alicheza vizuri sana mechi dhidi ya Ivory Coast ,akapotea kirahisi baada ya michuanoView attachment 2177586
Asante kamanda kwa masahihishoHii mechi ilikuwa ni Round of 16 ( sio robo fainali )..... robo fainali ujerumani alikutana na Argentina
Baada ya hii mechi, Abdulhalim Humoud akasema Brazil hawajatuzidi chochote ila wana bahati. Mpaka leo najiulizaga Humud huwa anatumiaga bangi ya wapi kati ya Lilongwe au Kapirimposhi?Tulipigwa 1-5 goli letu alifunga Jabir Aziz Steamer.Kuna jamaa mwanafunzi wa Green Acres aliruka akaingia uwanjani kumkumbatia Kaka.Alichezea virungu balaa
Unapigwa 5-1 bado useme hawajatuzidBaada ya hii mechi, Abdulhalim Humoud akasema Brazil hawajatuzidi chochote ila wana bahati. Mpaka leo najiulizaga Humud huwa anatumiaga bangi ya wapi kati ya Lilongwe au Kapirimposhi?
Wacha wale raha bwana wanakuwa wametoka maisha duni sana....tunaongea tuu ila kulipwa mil100 kwa wiki sii mchezo. Inakuwezesha kula mbususu utakavyoKipindi hiko anakipiga Sevilla kosa kubwa nadhani ni kurudi kwao Brazil pale ndipo mambo yote yakaenda kombo.
Ni kama leo hii Winga Douglas Costa eti hachezi tena Ulaya, alirudi Brazil kisha kaenda Marekani kucheza MLS.
Wabrazil huwa wanakwamishwa sana na starehe plus tamaa ya pesa
Yes nilisahauAlikuwepo pia pweza Paul katika utabiri
Aliwahi kuhojiwa mwaka 2020 na kusema kuwa hajawahi kujutia kitendo kile hali iliyoibua kutoneshwa kwa kidonda cha waafrika wenye machungu na mechi ileSuarez aka upatu shujaa wa Uruguay alidaka mpira, nilifurahi sana kwa uwezo ule wa kuwa golikipa na niga kukosa penati
Mechi ile ndio iliyowafanya Spain wajawe na morali ya kutwaa ubingwa, maana Germany alikuwa anaua mechi zake za nyuma kuanzia goal 3 mpaka 4Nakumbuka nusu fainali German vs spain ,goli la kichwa la carlos puyol ,Andreas iniesta alitawala kiungo ,sami khedira na mesut ozili waliutafuta mpira kwa tochi
Lakini ile kauli aliitoa mechi ya kirafiki na Akina Drogba.Siku hiyo Houmud alishine Sana.Tulifungwa moja bila na Ivory Coast.Unapigwa 5-1 bado useme hawajatuzid
Dude was highly intoxicated with opium
Lakini jamani tugeuze upande wa pili angekuwa mchezaji wa ghana ndio kafanya hivyo sii waafrica tunge furahi sanaAliwahi kuhojiwa mwaka 2020 na kusema kuwa hajawahi kujutia kitendo kile hali iliyoibua kutoneshwa kwa kidonda cha waafrika wenye machungu na mechi ile
Kabisa ,huenda ndo ilikuwa mechi bora kuliko zoteMechi ile ndio iliyowafanya Spain wajawe na morali ya kutwaa ubingwa, maana Germany alikuwa anaua mechi zake za nyuma kuanzia goal 3 mpaka 4
Kabisa ,huenda ndo ilikuwa mechi bora kuliko zote