The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upareni nao siku hizi ni mkoa?.mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
[emoji23] [emoji23] mm nima futi 6.1 ni mfupi??Mi naanza na kwenu namaliza na wewe pia mwone kazi kudharau watu.
Huna jipya
Nenda kasome tena somo la uraia. Hata mikoa ya Tanzania huijui.mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
naunga mkono hoja mkuu most of women ni wafupi ata sijui kwa nnMikoa ya nyanda za juu kusini, Dodoma, Pwani, Morogoro.
Hiyo mikoa watu physique yao ni ndogo sana.
Tuseme sehemu kubwa ya watanzania ni wenye maumbile madogo. Ukiangalia hata wanawake warefu ni wa kufata kwa tochi, karbu 90% ni short chasis.
Mzee baba unawaoneaUkiiacha Njombe sitokuelewa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna tumtu tufupi halafu tuna hasira Kama mbwehaMzee baba unawaonea