Leo tujuane mikoa inayoongoza kwa watu wafupi

Mi naanza na kwenu namaliza na wewe pia mwone kazi kudharau watu.
Huna jipya
 
Mikoa ya nyanda za juu kusini, Dodoma, Pwani, Morogoro.

Hiyo mikoa watu physique yao ni ndogo sana.

Tuseme sehemu kubwa ya watanzania ni wenye maumbile madogo. Ukiangalia hata wanawake warefu ni wa kufata kwa tochi, karbu 90% ni short chasis.
 
naunga mkono hoja mkuu most of women ni wafupi ata sijui kwa nn
 
Back
Top Bottom