Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Lindi na songea hizi mambo za vibwengoKuna hii stori ya vibwengo kwamba ukikutana nacho kinakuuliza umeanza kuniona wapi, ukajibu hapa anakumega.
Ukijibu nimekuona tangu kule anakuachia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lindi na songea hizi mambo za vibwengoKuna hii stori ya vibwengo kwamba ukikutana nacho kinakuuliza umeanza kuniona wapi, ukajibu hapa anakumega.
Ukijibu nimekuona tangu kule anakuachia.
Nafuatia mimikule kwetu mkoani mara mie ndio mfupi
Mtwara.mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Ngoja nipime levo yako ya gubu na kutema povuNafikiri hunifikii kwa ufupi
Wataje kwa majina kama kweli unafanya hip hop
Shem shukran sana brother ako alifikisha mzigo inavyotakiwaAsante Mungu mkoa wangu haujatajwa
Hiyo levo inapimwajeNgoja nipime levo yako ya gubu na kutema povu
mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Asante ba mkwe wangu kwa kushukuru ubarikiwe mnoooShem shukran sana brother ako alifikisha mzigo inavyotakiwa
Tulia hapo hapo nafuatilia posts zako tangu ujiungeHiyo levo inapimwaje
Mungu akuongezee pia mama mkweAsante ba mkwe wangu kwa kushukuru ubarikiwe mnooo
Ameen baba mkwe [emoji120][emoji120]Mungu akuongezee pia mama mkwe
lindiMtwara, kigoma
[emoji23] [emoji23] utanipa feedbackTulia hapo hapo nafuatilia posts zako tangu ujiunge
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Baba wa familia fulani..hasara tupu
Naona mpare umemindMada zingine bhana