Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
duh, natokea kibosho kweli, I meant young killerMkuu itakua unatokea kaskazini , Young D kaanza mziki kabla ya dogo iweje leo aje kuwa role model wake? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkereketwa huruHakuna mwanamuziki hapo, hao wote ni wasanii tu.....waigizaji tu wa luninga, hakuna chochote.
Ukimpenda janjaro, mpende d na killer sababu mi na ww ni raha hao wote ni shidaahawa madogo wote wako vzuri lakin wakat unaweza bishana kuhusu nani ni wa kwanza kati ya Young D na Young Kila, Dogo Janja ni lazima awe wa mwisho hapo.
Young kila nampa heko ya utungaji wa mashairi mazuri kuwazidi wote. maswaka ya vina na urari wa mistari anayaweza.
Young D, nyimbo zenye swaga anaziweza, huwa naskilizaga nyimbo zake kwa stail yake huwa sizichoki. mfano kijukuu, Boma la utete, dada anaolewa etc.
Dogo Janja, huyu ni mjanja mjanja tu hivo hivo, ila ki muziki hawawezi hao jamaa wawili hapo juu. japo si mbaya pia
Maswala ya kuvaa sjui, hayo mi siyawezi, au nani anapiga show kali hayo nayo siwezi, nani anaishi ki super star of coz dogo janja na Young Kila wanajielewa kuliko Young D sjui huwa anakula maharage ya wap Young D anaishi hovyo hovyo sana.
Unajua maana ya role model? Unajua Young D ameanza mziki lini? Kwa kukusaidia tu Young D ameanza kusikika miaka ya 2006 hivi wakati dogo Janja kasikika mwaka 2011, sasa iweje huyu wa 2011 awe role model wa huyu wa 2006?hao wote role model wao ni dogo janja, washakiri hivyo
Kwani yeye gari alinunua au alihongwa na boss wake kama wanavyohongwa Malaya?dogo njanjaaaa hao wengine hata siwajui
hao wengine wana hata bodaboda kweli?
kapiga collabo na mond soon itaachiwa mkuuHiyo ya wasafi kutaka kumchuka young killer huwa naisikia mara kwa mara.
hapana mkuu,young D kitambo kabla ya wote,ila killer ndo kakiri kwamba janjaro kam inspire kwenye hiphop sababu D alivyotoka alikua analegeza kdg kama ile ngoma yake ya ticha sijui dent tofauti na janjaro ngoma yake ya Anajuahao wote role model wao ni dogo janja, washakiri hivyo
Hilo kuhusu kollabo najua tangu siku ya kwanza diamond alipoenda kuomba collabo.kapiga collabo na mond soon itaachiwa mkuu
I concur. Young D na Blue byser ni wasanii wenye flow nzuri, versatility ya hatari ilibidi wawe mbali zaidi ya walipo sasa basi tu. Uwe mgumu au mlaini lazima uwakubali hawa jamaahawa madogo wote wako vzuri lakin wakat unaweza bishana kuhusu nani ni wa kwanza kati ya Young D na Young Kila, Dogo Janja ni lazima awe wa mwisho hapo.