Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

NANI MKALI?

  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Hakuna mwanamuziki hapo, hao wote ni wasanii tu.....waigizaji tu wa luninga, hakuna chochote.
 
Mkuu itakua unatokea kaskazini , Young D kaanza mziki kabla ya dogo iweje leo aje kuwa role model wake? [emoji23][emoji23][emoji23]
duh, natokea kibosho kweli, I meant young killer
 
Mpaka hapa young killer msodoki anaongoza akifatiwa na young d paka rasta ,janjaroo anashika mkia
 
hawa madogo wote wako vzuri lakin wakat unaweza bishana kuhusu nani ni wa kwanza kati ya Young D na Young Kila, Dogo Janja ni lazima awe wa mwisho hapo.

Young kila nampa heko ya utungaji wa mashairi mazuri kuwazidi wote. maswaka ya vina na urari wa mistari anayaweza.

Young D, nyimbo zenye swaga anaziweza, huwa naskilizaga nyimbo zake kwa stail yake huwa sizichoki. mfano kijukuu, Boma la utete, dada anaolewa etc.

Dogo Janja, huyu ni mjanja mjanja tu hivo hivo, ila ki muziki hawawezi hao jamaa wawili hapo juu. japo si mbaya pia

Maswala ya kuvaa sjui, hayo mi siyawezi, au nani anapiga show kali hayo nayo siwezi, nani anaishi ki super star of coz dogo janja na Young Kila wanajielewa kuliko Young D sjui huwa anakula maharage ya wap Young D anaishi hovyo hovyo sana.
Ukimpenda janjaro, mpende d na killer sababu mi na ww ni raha hao wote ni shidaa

nduki
 
Young Killer ana punch line ambazo unaweza kusikiliza nyimbo yake baada ya mwaka ndo ukaelewa anamaanisha nini.

Kwenye ngoma ile yuko.na stamina ft quick raka
Ana line anakwambia wajenzi hawanitaki eti kisa nakula bati

Au mwembe chai hakuna breakfast

None of young d na janjaro wanaeza andika vitu hivyo
 
hao wote role model wao ni dogo janja, washakiri hivyo
hapana mkuu,young D kitambo kabla ya wote,ila killer ndo kakiri kwamba janjaro kam inspire kwenye hiphop sababu D alivyotoka alikua analegeza kdg kama ile ngoma yake ya ticha sijui dent tofauti na janjaro ngoma yake ya Anajua
 
Kwenye nini, kuvaa au???
Kama kuimba wenyewe mbona washakubali kuwa kaka yao mkubwa Young David~Dar es salaam ndio kiboko yao
 
hawa madogo wote wako vzuri lakin wakat unaweza bishana kuhusu nani ni wa kwanza kati ya Young D na Young Kila, Dogo Janja ni lazima awe wa mwisho hapo.

Young kila nampa heko ya utungaji wa mashairi mazuri kuwazidi wote. maswaka ya vina na urari wa mistari anayaweza.

Young D, nyimbo zenye swaga anaziweza, huwa naskilizaga nyimbo zake kwa stail yake huwa sizichoki. mfano kijukuu, Boma la utete, dada anaolewa etc.

Dogo Janja, huyu ni mjanja mjanja tu hivo hivo, ila ki muziki hawawezi hao jamaa wawili hapo juu. japo si mbaya pia

Maswala ya kuvaa sjui, hayo mi siyawezi, au nani anapiga show kali hayo nayo siwezi, nani anaishi ki super star of coz dogo janja na Young Kila wanajielewa kuliko Young D sjui huwa anakula maharage ya wap Young D anaishi hovyo hovyo sana.
I concur. Young D na Blue byser ni wasanii wenye flow nzuri, versatility ya hatari ilibidi wawe mbali zaidi ya walipo sasa basi tu. Uwe mgumu au mlaini lazima uwakubali hawa jamaa
 
Back
Top Bottom