Leo tule catress na juice

Leo tule catress na juice

Daah sahivi uko wapi wewe na "catress" zako
Nipo home namalizia matumda
IMG_0257.jpeg
 
Tangu matina alivyoambiwa mpewe uhuru wa kununua sio lazima kula M&I. Wala kukatwa R/A ndiyo ikapunguza huduma

🤣🤣 rafiki yako Mwamini mlienda nae nane3sita yupo wapi?
Now ata sijui kapotelea wapi

Af ilikuwa inakopesha sana wengine hawajalipa up now 😂
 
Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home

Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu

View attachment 3218744
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress

View attachment 3218747
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali
View attachment 3218749
Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu
View attachment 3218751
Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda

View attachment 3218752
Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu

View attachment 3218753
Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta

View attachment 3218754
Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo

View attachment 3218755
Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
View attachment 3218756 Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni

View attachment 3218757
Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi

View attachment 3218758
Sawa Half american
Mwanaume unapika ivi na Fridge ina hadi Juice ya kutengeneza mwenyewe...Wewe kweli Ni Team kataa ndoa kwa vitendo sio wale wanasema kataa ndoa ilihali yupo kwenye mapaja ya Mkewe
 
Back
Top Bottom