Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Imekufa kifo kibaya. Sana.Ahahaj sasaivi imekufa kabis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekufa kifo kibaya. Sana.Ahahaj sasaivi imekufa kabis
Pesa za haraka haraka tutauza Armoury sasa. WeeAhahahah utaki pesa za haraka haraka bila mkopo 😂
😂😂 hiv kwanini imekufa mapema sana. IvyoImekufa kifo kibaya. Sana.
Unajipenda kweli 😂Pesa za haraka haraka tutauza Armoury sasa. Wee
Asante sanaHongera mjukuu
Tangu matina alivyoambiwa mpewe uhuru wa kununua sio lazima kula M&I. Wala kukatwa R/A ndiyo ikapunguza huduma😂😂 hiv kwanini imekufa mapema sana. Ivyo
🤣🤣 rafiki yako Mwamini mlienda nae nane3sita yupo wapi?Unajipenda kweli 😂
Nipo home namalizia matumdaDaah sahivi uko wapi wewe na "catress" zako
Now ata sijui kapotelea wapiTangu matina alivyoambiwa mpewe uhuru wa kununua sio lazima kula M&I. Wala kukatwa R/A ndiyo ikapunguza huduma
🤣🤣 rafiki yako Mwamini mlienda nae nane3sita yupo wapi?
Ni nyanya ndio zinakaa zimeishaHako na droo chini vya kuweka mbona haujaweka?
Mwanaume unapika ivi na Fridge ina hadi Juice ya kutengeneza mwenyewe...Wewe kweli Ni Team kataa ndoa kwa vitendo sio wale wanasema kataa ndoa ilihali yupo kwenye mapaja ya MkeweLeo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
View attachment 3218744
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress
View attachment 3218747
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali
View attachment 3218749
Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu
View attachment 3218751
Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda
View attachment 3218752
Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu
View attachment 3218753
Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta
View attachment 3218754
Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo
View attachment 3218755
Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
View attachment 3218756 Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni
View attachment 3218757
Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi
View attachment 3218758
Sawa Half american
Ukipika tena hizi catless usinisahau 😃Wa kwaza kabisa 😂
Lini unataka kula tenaUkipika tena hizi catless usinisahau 😃
Lini unataka kula tena
Niambie nikuandalie kabisa sema unachotaka kulaHaya ndo mambo sasa 😂