Leo tule catress na juice

Shida umesoma bweni na ulikuwa mgomvi πŸ˜‚πŸ˜‚
Dogo sitanii mi kupika zero, zaidi ya kuchemsha maji ya kuoga huko kwingine ni vichekesho ujue 😹😹😹

Pika pilau weekend kwaajili yangu nijifunze..!!
 
Dogo sitanii mi kupika zero, zaidi ya kuchemsha maji ya kuoga huko kwingine ni vichekesho ujue 😹😹😹

Pika pilau weekend kwaajili yangu nijifunze..!!
Sawa imeisha iyo juma mosi nitafanya ivyo uwe live
 
Ulitakiwa umuulize yuko wapi umpelekee catress.. wee unamwambia aje kwa akili zako atakuja?? Akila nauli uanze kuleta uzi wa malalamiko hapa 😹😹
Ase 🫑 we kiboko
 
Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.

Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Katles nyama inawekwa katikati kama alivyoweka mtoa mada. Kwa jinsi ninavyojua mimi pia ila kama unavyojua mapishi yapo ya aina mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…