Leo tule catress na juice

Leo tule catress na juice

Shida umesoma bweni na ulikuwa mgomvi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dogo sitanii mi kupika zero, zaidi ya kuchemsha maji ya kuoga huko kwingine ni vichekesho ujue ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Pika pilau weekend kwaajili yangu nijifunze..!!
 
Dogo sitanii mi kupika zero, zaidi ya kuchemsha maji ya kuoga huko kwingine ni vichekesho ujue ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Pika pilau weekend kwaajili yangu nijifunze..!!
Sawa imeisha iyo juma mosi nitafanya ivyo uwe live
 
Nami nilizipika majuzi
 

Attachments

  • IMG_0457.jpeg
    IMG_0457.jpeg
    530.3 KB · Views: 2
  • IMG_0458.jpeg
    IMG_0458.jpeg
    416.8 KB · Views: 3
Ulitakiwa umuulize yuko wapi umpelekee catress.. wee unamwambia aje kwa akili zako atakuja?? Akila nauli uanze kuleta uzi wa malalamiko hapa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ase ๐Ÿซก we kiboko
 
Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.

Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Katles nyama inawekwa katikati kama alivyoweka mtoa mada. Kwa jinsi ninavyojua mimi pia ila kama unavyojua mapishi yapo ya aina mbalimbali.
 
Back
Top Bottom