realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Jitahidi tu ubalance chumvi, sukari na mafuta ๐ ๐ ๐Huko kwa bed nampika mpk ananena kwa lugha, kazi ipo huku kwenye jiko la kushibisha tumbo aiyiiiii ๐น๐น๐น
Kwanza nncheke..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi tu ubalance chumvi, sukari na mafuta ๐ ๐ ๐Huko kwa bed nampika mpk ananena kwa lugha, kazi ipo huku kwenye jiko la kushibisha tumbo aiyiiiii ๐น๐น๐น
Kwanza nncheke..!!
Ata visipo iva ilia abalance ๐๐Jitahidi tu ubalance chumvi, sukari na mafuta ๐ ๐ ๐
Nataka vuguvugu ๐ au JotoridiAaa acha bc
Nitalupashia nikurequest boltNataka vuguvugu ๐ au Jotoridi
Dogo sitanii mi kupika zero, zaidi ya kuchemsha maji ya kuoga huko kwingine ni vichekesho ujue ๐น๐น๐นShida umesoma bweni na ulikuwa mgomvi ๐๐
๐ ๐ ๐Ata visipo iva ilia abalance ๐๐
Nyie mnatongozona na bundle langu ๐นMimi muoga wa vitu vya moto ๐
Twende basi tukale mishkaki ๐Nyie mnatongozona na bundle langu ๐น
Kaza basi unacheka cheka nini? Unatongozaje hivyo Mwachi mdogo wangu ๐น๐นAaa acha bc
Sawa imeisha iyo juma mosi nitafanya ivyo uwe liveDogo sitanii mi kupika zero, zaidi ya kuchemsha maji ya kuoga huko kwingine ni vichekesho ujue ๐น๐น๐น
Pika pilau weekend kwaajili yangu nijifunze..!!
Dah poleNyie mnatongozona na bundle langu ๐น
Au sio poaKaza basi unacheka cheka nini? Unatongozaje hivyo Mwachi mdogo wangu ๐น๐น
Ulitakiwa umuulize yuko wapi umpelekee catress.. wee unamwambia aje kwa akili zako atakuja?? Akila nauli uanze kuleta uzi wa malalamiko hapa ๐น๐นEmbu nieleke inaombwaje ase we kichwa kibovu ๐๐๐๐
Ase ๐ซก we kibokoUlitakiwa umuulize yuko wapi umpelekee catress.. wee unamwambia aje kwa akili zako atakuja?? Akila nauli uanze kuleta uzi wa malalamiko hapa ๐น๐น
Zime kaa poa sanaNami nilizipika majuzi
Katles nyama inawekwa katikati kama alivyoweka mtoa mada. Kwa jinsi ninavyojua mimi pia ila kama unavyojua mapishi yapo ya aina mbalimbali.Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.
Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
๐น๐น๐น hiyo chumvi niliwahi kuzidisha wee palikucha na vile ana gubu, aliongea km kameza flash..!! ๐คฃJitahidi tu ubalance chumvi, sukari na mafuta ๐ ๐ ๐