Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Kwani radio na tv station kwa Tanzania iko clouds pekeyake?
 
Songa peke yake huyu dogo ni hatari mno....

Stamina kama angeendelea kukaza kwa speed ile aliyokuwa nayo miaka mitatu miwili nyuma angekuwa poa sana.

Hata Young Killer asingejitoa kwenye Label yake ya zamani angefata nyayo ila siku hizi nae anaandika utoto utoto tu
 
Hamna msanii wa hip hop bongo anamfikia fid q kwa chunusi.
 
Hii kitu inabidi niiweke sawa kwa mara nyingine...
Ndani ya ardhi ya TZ (bongo land na viunga vyake)
Hakuna(narudia kwa herufi kubwa HAKUNA) rapper yeyote wa kumfananisha na fid q.
Fid ndio first - last and every thing in between .

Kwahio asitokee mtu akamfananisha fid na mtu yeyote ndani ya bongoland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…