ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
Singida Black Star ⭐ wamepata goal dakika ya 39 huku Simba wakipata goli la penalty ya kubebwa mnamo dakika za nyongeza
Mechi imeisha hivo Kwa sare japo, tulijaribu kuipambania Simba ipate ushindi ila mambo yamegoma
Sare hii ina maana kwamba kesho Yanga akishinda anaongoza ligi
Kuna msemo kuwa " mtoto halali na hela, hulala na nepi"
Kila la heri mtakaotazama marudi
Ya
SBS 1 5imba 1
Yanga bingwa