Leo tutashuhudia maamuzi mabaya, mechi itaisha Kwa sare 1 - 1

Leo tutashuhudia maamuzi mabaya, mechi itaisha Kwa sare 1 - 1

Kwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
Wewe kila mechi huo ulimwengu wa roho unatoa matokeo tofauti. Haujawahi kupatia hats mechi moja, ila bado upo tu 😂😂😂
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

HAWA MAADUI WANALITESA MNO TAIFA HADI LEO.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Wewe kila mechi huo ulimwengu wa roho unatoa matokeo tofauti. Haujawahi kupatia hats mechi moja, ila bado upo tu 😂😂😂
🤣😀😅
Mmeshinda Bado wakali
 
Kwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
IMG-20241207-WA0005.jpg

Singida Black Star ⭐ wamepata goal dakika ya 39 huku Simba wakipata goli la penalty ya kubebwa mnamo dakika za nyongeza

Mechi imeisha hivo Kwa sare japo, tulijaribu kuipambania Simba ipate ushindi ila mambo yamegoma

Sare hii ina maana kwamba kesho Yanga akishinda anaongoza ligi

Kuna msemo kuwa " mtoto halali na hela, hulala na nepi"

Kila la heri mtakaotazama marudi
Ya
SBS 1 5imba 1

Yanga bingwa
 
Back
Top Bottom