Ok mkuu, vipi kwenye ulimwengu wa roho supu mnakunywa lini baada ya kuvuka makundi?Too late
Game imeisha ni sare 1 - 1
Huwezi badilisha kitu
🤣🤣🤣Kwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
Singida Black Star ⭐ wamepata goal dakika ya 39 huku Simba wakipata goli la penalty ya kubebwa mnamo dakika za nyongeza
Mechi imeisha hivo Kwa sare japo, tulijaribu kuipambania Simba ipate ushindi ila mambo yamegoma
Sare hii ina maana kwamba kesho Yanga akishinda anaongoza ligi
Kuna msemo kuwa " mtoto halali na hela, hulala na nepi"
Kila la heri mtakaotazama marudi
Ya
SBS 1 5imba 1
Yanga bingwa
Haya ni mambo ya uhakika yameshatendeka kwenye ulimwengu wa roho🤣🤣🤣
Matarajio yasije yakakudhurumu maana una roho nyepesi kama karatasi. Kuna kipindi Yanga wamepigwa gemu mbili mfululu ukasema una staafu kushabikia soka la Bongo
Simba hachomoki leoKwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
Singida Black Star ⭐ wamepata goal dakika ya 39 huku Simba wakipata goli la penalty ya kubebwa mnamo dakika za nyongeza
Mechi imeisha hivo Kwa sare japo, tulijaribu kuipambania Simba ipate ushindi ila mambo yamegoma
Sare hii ina maana kwamba kesho Yanga akishinda anaongoza ligi
Kuna msemo kuwa " mtoto halali na hela, hulala na nepi"
Kila la heri mtakaotazama marudi
Ya
SBS 1 5imba 1
Yanga bingwa
Umeshindwa kuuona umasikini wako kwenye ulimwengu wa roho ndio uje uone mambo ya simba.
Jibu maswali mkuu! ... muungawana hujibuTulia bwana mdogo haya mambo yanakuzidi umri
Aisee una roho nyepesi sana halafu mambo ya kiroho kwenye mapambano ya wazi yanatoka wapi???Haya ni mambo ya uhakika yameshatendeka kwenye ulimwengu wa roho
SBS 1 5imba 1