Leo tutashuhudia maamuzi mabaya, mechi itaisha Kwa sare 1 - 1

Mnaumia sana kuona "5imba" imekaa kwa kutulia pale kileleni. Mioyo yenu haina amani kabisa.

Mkitaka kumtoa "5imba" pale kileleni, subirini mtakapotolewa hatua ya makundi mashindano ya CAF na Simba itakapokuwa na viporo ndiyo mtaonja ladha ya kuwa kileleni kwa muda.
 
Aisee una roho nyepesi sana halafu mambo ya kiroho kwenye mapambano ya wazi yanatoka wapi???
AU maneno ya Waganga?
Kila unachokiona dhahiri ujue sisi wataalam tushaliona kabla halijatendeka
 
Ukiahidi chochote itapendeza
Kuna mwenzako huwa naona anaomba msamaha kila mechi ya simba inapomalizika.
 
Kama kuandika Hujui Utaweza kutabiri?
 
Uto bhana
 
Nilikuuliza ulimwengu Gani w Roho?
Au wa kijijini kwenu mkuu ๐Ÿ˜‚
 
Mganga tunataka kujua matokeo!
 
Ona hii nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ