Leo tutashuhudia maamuzi mabaya, mechi itaisha Kwa sare 1 - 1

Wewe mtabiri uchwara ngara23 njoo huku kwenye uzi wako ujibu hoja ya kwanini usichukuliwe hatua kali kwa kutoa utabiri wa uongo.
 
Reactions: Tui
Sheikh Yahya...
 
Reactions: Tui
Singida Black Star ⭐ wamepata goal dakika ya 39 huku Simba wakipata goli la penalty ya kubebwa mnamo dakika za nyongeza

Mechi imeisha hivo Kwa sare japo, tulijaribu kuipambania Simba ipate ushindi ila mambo yamegoma🤣🤣🤣🤣🤣
 
Blazangu mipumbavu mingi inatumia nguvu kubwa kuikamia Simba ikidhani Simba ni Pamba
 
Reactions: Tui
Mmh, sawaa, wametoka hivohivo, cha kushangaza, shetani na mama mkwe wake walikuwa wanahitaji busara za mwamuzi; ...ubaya ubwela utamfikia kila mtu..
 
Zumbukuku njoo ulete matokeo yako.Huu ushamba wa kujifanya Mtabiri Yahya Hussein sijui utaacha lini.Kila mara unadhihirisha ubaradhuli wako lakini huachi.Nahisi kuna kitu hakipo sawa upstairs.
 
Zumbukuku njoo ulete matokeo yako.Huu ushamba wa kujifanya Mtabiri Yahya Hussein sijui utaacha lini.Kila mara unadhihirisha ubaradhuli wako lakini huachi.Nahisi kuna kitu hakipo sawa upstairs.
Na wewe ulivo lofa mbumbumbu ukaamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…