Leo tutashuhudia maamuzi mabaya, mechi itaisha Kwa sare 1 - 1

Kwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
Wewe kila mechi huo ulimwengu wa roho unatoa matokeo tofauti. Haujawahi kupatia hats mechi moja, ila bado upo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

HAWA MAADUI WANALITESA MNO TAIFA HADI LEO.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Wewe kila mechi huo ulimwengu wa roho unatoa matokeo tofauti. Haujawahi kupatia hats mechi moja, ila bado upo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ€£πŸ˜€πŸ˜…
Mmeshinda Bado wakali
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…