Haijawahi kutokea kabisa aisee. Na kilichowasaidia wengi wao walikuwa wakichukua nyimbo za miaka ya nyuma za wasanii wakongwe na kuzifanyia modification na kuzitengeza kisasa na ndio maana walikuwa wanatoa ngoma kali.Tuache utani kuanzia 1990 mpaka 2010 palikua na wanamuziki wanaojua kuimba
Shida ulikuwa mdogo ulikuwa bado unavaa nepi. Hukuyashuhudia haya ya kuvaa plasta na kujiona Nelly.Kila mmoja alikuwa anabandika plasta? [emoji3] Hapo umetupiga mzee...
Shida ulikuwa mdogo ulikuwa bado unavaa nepi. Hukuyashuhudia haya ya kuvaa plasta na kujiona Nelly.
Miaka ya kuvaa jeans za Fubu, Fat joe, Phat farm, Sean John, etc.
Viatu air force one, air Jordan, Andyone na Taima.
Manina.
PLasta ya Nelly ilikuwa SHIDA, mabitozi waliibandika bila kujua maana yake, kumbe ilikuwa ni protest na namna ya kumkumbuka member mwenzao wa St Lunatics aliyekuwa kafungwa jela. Enzi hizo nikienda internet cafe Iringa mitaa ya uhindini ilikuwa lazima usikie computer zaidi ya nne zinaplay back Neeeely I love youuuuuu, Nely iii neeeeed you, hatari sanaShida ulikuwa mdogo ulikuwa bado unavaa nepi. Hukuyashuhudia haya ya kuvaa plasta na kujiona Nelly.
Miaka ya kuvaa jeans za Fubu, Fat joe, Phat farm, Sean John, etc.
Viatu air force one, air Jordan, Andyone na Taima.
Manina.
Hahahaha [emoji23][emoji23]Taima umenikumbusha mbali sana mazee. Niko form 2 2001 taima ndo habari ya mjini nikaleta bonge la zengwe home hadi bi mkubwa tukazama nae mitaa ya clock tower kuninunulia [emoji23][emoji23]. Hapo namake make viela vya shule ninunue jeans zile zinawaka waka pale kwa Mkorea ilikuwa 25k acha kabisa. Hapo T-shirts za Phat Farm, Dada Supreme, Roca Wear, sijui SOHK school of hard knocks yan balaa tupu. bado una jezi kibao za basketball Kina Iverson, sijui Jordan yuko Philadelphia 76ers, Kobe ya Lakers etc yan purukushani mtindo mmoja. Headband za kila rangi [emoji23][emoji23]Shida ulikuwa mdogo ulikuwa bado unavaa nepi. Hukuyashuhudia haya ya kuvaa plasta na kujiona Nelly.
Miaka ya kuvaa jeans za Fubu, Fat joe, Phat farm, Sean John, etc.
Viatu air force one, air Jordan, Andyone na Taima.
Manina.
Kwa Mkorea, kwa Makoba na the hood maduka ya pamba kwa vijana kipindi hikoHahahaha [emoji23][emoji23]Taima umenikumbusha mbali sana mazee. Niko form 2 2001 taima ndo habari ya mjini nikaleta bonge la zengwe home hadi bi mkubwa tukazama nae mitaa ya clock tower kuninunulia [emoji23][emoji23]. Hapo namake make viela vya shule ninunue jeans zile zinawaka waka pale kwa Mkorea ilikuwa 25k acha kabisa. Hapo T-shirts za Phat Farm, Dada Supreme, Roca Wear, sijui SOHK school of hard knocks yan balaa tupu. bado una jezi kibao za basketball Kina Iverson, sijui Jordan yuko Philadelphia 76ers, Kobe ya Lakers etc yan purukushani mtindo mmoja. Headband za kila rangi [emoji23][emoji23]
Ujana bana [emoji23] kama hujapitia hizi Mambo huwezi kujua raha zake
Dah hayo maisha ya Internet cafe acha kabisa [emoji23][emoji23] cafe ipi hatujaingia daslam mjini [emoji23][emoji23] Ila kuna kituko kimoja sitakaa nisahau. Enzi hizo net cafe saa nzima 500 . hiyo ndo ilikuwa bei elekezi. Labda uende za kishua mitaa ya Ohio serena saa nzima buku 2. Sasa Bwana kuna mshkaji wangu akaleta chimbo jipya liko mnazi mmoja mitaa ya mtendeni na kisutu akadai masaa matatu buku. Basi raia Hao kama wote [emoji23][emoji23] tukatia timu. Computer inaload hatari. Yan kufungua page dakika 5. Kumbe lile saa waliloongeza Ni kufidia loading [emoji23][emoji23][emoji23].PLasta ya Nelly ilikuwa SHIDA, mabitozi waliibandika bila kujua maana yake, kumbe ilikuwa ni protest na namna ya kumkumbuka member mwenzao wa St Lunatics aliyekuwa kafungwa jela. Enzi hizo nikienda internet cafe Iringa mitaa ya uhindini ilikuwa lazima usikie computer zaidi ya nne zinaplay back Neeeely I love youuuuuu, Nely iii neeeeed you, hatari sana
Umesahau Cadbury mtaa ule ule wa kwa mkorea unakuja kama unaenda kkoo shimoniKwa Mkorea, kwa Makoba na the hood maduka ya pamba kwa vijana kipindi hiko
Dah uko sawa kwa kumbukumbu mkuu, you lived that life hakika, mie kwenye jersey ilikuwa lazima nipate ya iverson no 3, ya kobe no 24, Odom no 7 na ya garnet no 21, nkUmesahau Cadbury mtaa ule ule wa kwa mkorea unakuja kama unaenda kkoo shimoni
Umemleta huyu mwamba tegemea na BIG kufuatia, hawa jamaa inawezekana battle lao liliendelea pema peponi ndio maana mashabiki hawataki kuelewana nani mkali zaidi ya…Sijaona akikumbukwa mtu mzima 2PAC! Na madude yake kama
California love
Dear mama
Life goes on
Hit em up
Me 'n' my girlfriend
Me against the world
Vp mazee!? Mjue mwamba alikuwa mnyama sana!
R. I. P
OmarionBow Wow. Grew up idolizing that midget bana.
Lost Boyz.
Naughty by Nature.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hawa watoto WA juzi wasamehe tuShida ulikuwa mdogo ulikuwa bado unavaa nepi. Hukuyashuhudia haya ya kuvaa plasta na kujiona Nelly.
Miaka ya kuvaa jeans za Fubu, Fat joe, Phat farm, Sean John, etc.
Viatu air force one, air Jordan, Andyone na Taima.
Manina.
Rising to the top Nayo bonge la ngomaKuna ngoma ya lost Boys inaitwa renee jamaa anachanika balaa
Nellyyyy....I...love youuuuuuuPLasta ya Nelly ilikuwa SHIDA, mabitozi waliibandika bila kujua maana yake, kumbe ilikuwa ni protest na namna ya kumkumbuka member mwenzao wa St Lunatics aliyekuwa kafungwa jela. Enzi hizo nikienda internet cafe Iringa mitaa ya uhindini ilikuwa lazima usikie computer zaidi ya nne zinaplay back Neeeely I love youuuuuu, Nely iii neeeeed you, hatari sana