Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Kuna majamaa walifanya ngoma inaitwa "Maria Maria" humo kuna gitaa la Santana ni noma na nusu!
Wale masela wanaitwa THE PRODUCT G&B

Santana hanaga kazi mbovu,mzee mzima anatunga zake wimbo kisha anatafuta wasanii wa kuwashirikisha akija kuachia ngoma ni 💥
Kuna wimbo wake unaitwa SMOOTH
 
Westlife na UB40 ndio zao
 
Mwaka 1997 wimbo wa Puffy Daddy wa kumkumbuka Notorius BIG baada ya kufariki
Walishirikiana na Faith Evans
Ulikuwa ni wimbo wa maombolezo lakini ulitamba sana


View: https://www.youtube.com/watch?v=NKMtZm2YuBE&pp=ygUubm90b3Jpb3VzIGJpZyBmaXRoIGV2YW5zIGkgd2lsbCBiZSBtaXNzaW5nIHlvdQ%3D%3D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…