Leo ukimgegeda, kesho yake unapata mkwanja~ (Ushirikina au Karama?)

Duniani kuna watu na viatu.....
 
Uzi huu unafaa kupelekwa kwa jukwaa la Vacancies (Nafasi za Kazi). Maana kuna watu wanatafuta ajira ya aina yoyote ilimradi mkono wende kwa kinywa.

Au kama vipi mleta uzi unaweza kuvuta jumla huo mzigo halafu kazini ukaomba kuacha ukachukua na fao la kujitoa kabisa! Maana si tayari utakuwa umepata mtaji, wewe ni gegedu tu, ukiamka unahakikisha simu yako ina chaji muda wote unasubiri simu ya dili!

Duniani humu kuna vijimambo hadi raaaahaa.......
 
Kazi kweli kijana upo poa kupata ngoma kisa vijisenti
 
Eti karama, karama itokee kupitia uzinzi.
Kama ni kweli, sipati tabu kumtambua shetani pale hata bila ukimwi.
Imeandikwa "kwa JASHO utakula" na sio kwa ngono.
 
Hapo kwenye nyekundu Bhaah!!! Chitop...ukikimbia nchale...ukimung'unya nchale. Mkuu hiyo mimi ninegoma kuamini...naomba nikupe Mji ....Nachingwea!?
 
Hapo kwenye nyekundu Bhaah!!! Chitop...ukikimbia nchale...ukimung'unya nchale. Mkuu hiyo mimi ninegoma kuamini...naomba nikupe Mji ....Nachingwea!?

Nachingwea hapana, nipe mji mwingine wa kanda ya ziwa lakini...
 
hahaaaaa kule watapatikana wengi sana maana watu wana sress na kazi + kupandishwa vyeo....
eti Amicus Curiae hujasikia jinsia ya tofauti na hiyo ya kike yenye karama na mimi unielekeze.......
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa kule watapatikana wengi sana maana watu wana sress na kazi + kupandishwa vyeo....
eti Amicus Curiae hujasikia jinsia ya tofauti na hiyo ya kike yenye karama na mimi unielekeze.......

hahahaaa na wewe unaitaka hiyo karama my dia?

Hebu muulize bi Zahra white anaipataga wapi tukapange foleni... Lolz!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…